Kitabu kipya cha Issa Shivji-Insha za Mapambano ya Wanyonge

Kitabu kipya cha Prof. Issa Shivji – Insha za Mapambano ya wanyonge,kitazinduliwa tarehe 12 – 13 Aprili kwenye Tamasha la Mwalimu Nyerere. Maelezo zaidi tembelea UDADISI

Bei ya kitabu ni Tsh 18,000/=

Nakala moja moja wakati wa kuzindua kitabu ni Tsh 15,000/=

Bei ya jumla (kuanzia nakala 20) ni Tsh 13,500/=

Published in: on March 30, 2012 at 10:10 am  Leave a Comment  
Tags: ,